Buy on Amazon
https://www.ebooknetworking.net/books_detail-0557384796.html
Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia (Swahili Edition)
Book Details
Author(s)Harith Ghassany
Publisherlulu.com
ISBN / ASIN0557384796
ISBN-139780557384792
AvailabilityUsually ships in 24 hours
Sales Rank4,184,017
CategoryHistory
MarketplaceUnited States 🇺🇸
Description
Kitabu hichi ni kidoto kisichokua na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye kuelezea upande mwengine kabisa wa hadithi ya Mapinduzi ya Zanzibar na historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ndani ya kitabu hichi mtakuna kwa mara ya kwanza na Jemedari halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye si Mzee Abeid Amani Karume, wala si "Field Marshall" John Okello, na wala si Komredi Abdulrahman Babu.











