Buy on Amazon
https://www.ebooknetworking.net/books_detail-1440459975.html
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition
Book Details
ISBN / ASIN1440459975
ISBN-139781440459979
AvailabilityUsually ships in 24 hours
Sales Rank15,158,010
CategoryTechnology & Engineering
MarketplaceUnited States 🇺🇸
Description
Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http:// www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.













