Search Books

Udhibiti wa Huduma za Kiuchumi Tanzania (Swahili Edition)

Author Mark Mwandosya
Publisher E & D Vision Publishing Ltd
Category Public utilities
📄 Viewing lite version Full site ›
🌎 Shop on Amazon — choose country
19.48 USD
🛒 Buy New on Amazon 🇺🇸 🏷 Buy Used — $18.46

✓ Usually ships in 24 hours

Share:
Book Details
ISBN / ASIN9987735096
ISBN-139789987735099
AvailabilityUsually ships in 24 hours
Sales Rank99,999,999
MarketplaceUnited States 🇺🇸

Description

Udhibiti ni njia mojawapo inayotumika kusimamia Uchumi wa nchi na kuendeleza ustawi wa jamii.Udhibiti wa huduma za kiuchumi (public utilities) unahusu kuweka mizania kati ya kuwawezesha watoa huduma na kuwalinda watumiaji wa huduma kama vile maji, umeme, uchukuzi, mawasiliano na utangazaji. Kitabu hiki kinaelezea chimbuko la udhibiti Tanzania katika muktadha wa mabadiliko ya uchumi duniani pamoja na udhibiti katika nchi nyingine.Ni kitabu chenye maarifa ya msingi kwa kila mtumiaji wa huduma za kiuchumi,pamoja na wanafunzi,wasomi, wafanyakazi na viongozi.