UHURU ULIVYOPORWA. (Swahili Edition)
Book Details
Author(s)LUGOMOLA, THEODEMIDROVICH
PublisherLulu.com
ISBN / ASIN1300704160
ISBN-139781300704164
MarketplaceFrance 🇫🇷
Description
Mfumo tawala umeendelea kutawala Watanzania kwa nguvu kwa sababu ya hofu, na sasa nawaambia Watanzania wajue kuwa hawana sababu ya kuhofu mfumo huo tena kwani wao ndio wanaouweka mfumo huo ili mfumo huo uwatumikie na si wao wautumikie mfumo.
